Grants:MSIG/Announcements/2021/sw

This page is a translated version of the page Grants:MSIG/Announcements/2021 and the translation is 100% complete.

These are the messages for the Movement Strategy Implementation Grants for 2021.

Short messages

  1. Kutangaza kufunguliwa tena kwa ruzuku ya Utekelezaji wa Mkakati wa Harakati! Ruzuku hii inasaidia malengo ya kimkakati na mipango yako. Soma zaidi kuhusu vigezo na jinsi ya kuomba.
  2. Je jamii yako ina kile inachohitaji ili kuweka mipango yao ya Mkakati wa Harakati? Ruzuku ya Utekelezaji wa Mkakati wa Harakati inaweza kuunga mkono mawazo yako.
  3. Ruzuku ya Utekelezaji wa Mkakati wa Harakati inatoa msaada unaohitaji kwa mipango yako ya mkakati. Timu ya Utawala ya Mkakati wa Harakati iko hapa kuunga mkono maoni na mipango yako. Jifunze zaidi.
  4. Jamii zingine zimechangia malengo na mawazo juu ya Mkakati wa Harakati. Jifunze jinsi misaada ya utekelezaji wa Mkakati wa Harakati inaweza kusaidia malengo haya.