Kikosi Kazi cha Kukuza Uongozi/ Wito wa Tangazo la Maoni
Outdated translations are marked like this.
Kikosi Kazi cha Kukuza Uongozi: Maoni yako yatathaminiwa
Timu ya Maendeleo ya Jamii katika ya Wikimedia Foubdation inaunga mkono uundaji wa Kikosi Kazi cha Kukuza Uongozi duniani kote kinachoendeshwa na jamii. Madhumuni ya kikosi kazi ni kushauri kazi za maendeleo ya uongozi.
Timu inatafuta maoni kuhusu majukumu ya Kikosi Kazi cha Kukuza Uongozi. Ukurasa huu wa Meta unashiriki pendekezo la Kikosi Kazi cha Kukuza Uongozi na jinsi unaweza kusaidia. Maoni kuhusu pendekezo hili na yatakusanywa kuanzia tarehe 7 hadi 25 Februari 2022.