Mkataba wa Harakati/Kamati ya Uandishi/Tangazo - Ukumbusho kuhusu kura ya Kuidhinishwa (jumuiya)
Outdated translations are marked like this.
Ukumbusho kuhusu kupiga kura sasa ili kuridhia Mkataba wa Harakati wa Wikimedia
- Unaweza kupata ujumbe huu ukiwa umetafsiriwa katika lugha za ziada kwenye Meta-wiki. Please help translate to your language
Habarini nyote,
Huu ni ukumbusho kwamba ikiwa bado hujapiga kura ya uidhinishaji wa rasimu ya mwisho ya Mkataba wa Harakati wa Wikimedia, tafadhali fanya hivyo kabla ya Julai 9, 2024 saa 23:59 UTC.
Unaweza kusoma andiko la mwisho la Mkataba wa Harakati wa Wikimedia katika lugha yako. Kufuatia hilo, angalia kama unastahiki kupiga kura. Ikiwa unastahiki, piga kura yako kwenye [LINK SecurePoll].
Kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi ya Mkataba,