Mkataba/Uidhinishwaji/Upigaji kura/SecurePoll - upigaji kura wa mtu binafsi

This page is a translated version of the page Movement Charter/Ratification/Voting/SecurePoll - individual voting and the translation is 100% complete.

Uidhinishaji wa Mkataba wa Harakati wa Wikimedia 2024

Piga kura

Ndiyo

-

Hapana

Swali

Je, unaunga mkono uidhinishaji wa Mkataba wa Harakati wa Wikimedia?

Kura hii ni ya mchakato wa kuridhia Mkataba wa Harakati wa Wikimedia. Wasilisha kura yako hapa chini. Kwa maelezo zaidi, rejelea ukurasa wa usaidizi wa wapiga kura kwenye Meta-Wiki.

Tafadhali chagua "ndiyo" au "hapana". Uchaguzi wa "-" hauathiri matokeo kwa njia yoyote, lakini unakuwezesha kuacha maoni.

Iwapo una wasiwasi kuhusu Mkataba wa Harakati za Wikimedia, tafadhali onesha sehemu ambayo/ambazo zina utata na uoneshe mambo gani yanayokutatiza. Maoni yataonekana hadharani. Tafadhali usitoe taarifa za kibinafsi katika maoni yako. Asante.

Nyenzo nyingine

  • title: Uidhinishaji wa Mkataba wa Harakati wa Wikimedia
  • jumptext: Kura itapigwa kwenye tovuti kuu ya wiki. Tafadhali bofya kitufe kilicho hapa chini ili kupelekwa huko. Tafadhali kumbuka kuwa unapopiga kura baadhi ya taarifa fulani ikiwemo anwani yako ya IP na taarifa za wakala wa mtumiaji zitakusanywa ili kuruhusu wachunguzi kuhakikisha kwamba kura hiyo ni ya uadilifu. Taarifa hizo zitafutwa siku 90 baada ya uchaguzi kukamilika na zitaonekana tu kwa wakaguzi na washauri wa uchaguzi wa wafanyakazi.
  • returntext: Mkataba wa Harakati wa Wikimedia
  • unqualifiederror: Tunaomba radhi, lakini hauonekani kuwa kwenye orodha ya wapigakura wanaostahiki. Tafadhali tembelea ukurasa wa msaada kwa mpigakura kwa maelezo zaidi kuhusu ustahiki wa mpigakura na maelezo kuhusu jinsi ya kuongezwa kwenye orodha ya wapigakura ikiwa unakidhi vigezo.