Kituo cha Tukio/Usajili/Maelekezo
Home | How to Use | FAQ | News & Updates |
Mahitaji ya kutumia kipengele cha usajili wa tukio
- Ili kuwezesha usajili kwenye ukurasa wa tukio:
- Lazima uingie kwenye akaunti ya wiki
- You must be in the Event Organizer user group. Visit the information page learn more about the user group.
- Lazima uwe muundaji wa ukurasa wa tukio
- Ukurasa wa tukio unahitaji kuwa katika eneo la wiki la tukio
- Kujiandikisha kama mshiriki kwenye ukurasa wa tukio:
- Lazima uwe umeingia na akaunti ya wiki. La sivyo, utaelekezwa kwenda kwenye ukurasa wa kuingia/kujisajili ili kukamilisha mchakato wa usajili wa tukio.
Quick Start Videos
These are short instructional video guides, each less than 6 minutes long, focusing on specific aspects of the tool. The videos provide step-by-step guidance to help you quickly understand and use the features effectively.
Zana ya usajili wa tukioː uzoefu wa mratibu
Unda ukurasa wa tukio katika eneo la wiki la tukio
Unaweza kuunda ukurasa wa tukio kama jinsi unavyo anzisha kurasa zingine za wiki, kwa tofauti moja: ukurasa lazima uwe katika nafasi ya jina la Tukio. Ili kufanya hivi, jina la ukurasa wa tukio lazima lianze na “Event" + “:” (koloni) + "(Jina la tukio lako) . Kwa mfano, ikiwa tukio lako linaitwa "African Women Editathon," jina la ukurasa litakuwa "Event: African Women Editathon." Unaweza kutumia Event:Sandbox kujaribu kuunda tukio katika eneo la wiki la tukio.
Kumbuka kwamba ukurasa wa tukio umeundwa kama ukurasa mwingine wowote wa wiki, kwa hivyo sheria za jinsi unavyofutwa, kudhibitiwa au kusimamiwa ni sawa na kwa kurasa zingine zozote za wiki.
Angalia Kielelezo 1: Jinsi ya kuunda tukio katika eneo la wiki la tukio.
Chagua kuwezesha usajili kwenye ukurasa wa tukio
Kuna njia mbili za kuwezesha usajili kwenye ukurasa wako wa tukio. Unaweza kuwezesha usajili wako wa tukio kupitia dirisha ibukizi au kupitia kiungo cha Usajili wa Tukio.
- Kupitia dirisha ibukiziː Mara baada ya kuunda ukurasa wa tukio katika eneo la wiki la tukio, utaona dirisha ibukizi ambalo linakuuliza ikiwa ungependa kuwezesha usajili. Unaweza kubofya "Wezesha usajili" ili kuanza mchakato. Unaweza pia kubofya "Ondoa" ili kuondoa dirisha ibukizi.
- Kupitia kiungo cha usajili wa tukioː Mara tu unapounda ukurasa wa tukio katika nafasi ya majina ya tukio, utaona kiungo cha “Wezesha usajili katika kichwa cha usajili kwenye ukurasa wa tukio. Bofya kiungo cha "Wezesha usajili" ili kuanza mchakato.
Angalia Mchoro 2.1: Kuwezesha usajili wa tukio kupitia madirisha ibukizi na Mchoro 2.2: Kuwezesha usajili wa tukio kupitia kiungo
Andika taarifa za tukio ili kuwezesha usajili
Jaza fomu ya maelezo: Pindi tu unapochagua kuwezesha usajili, utahitaji kujaza fomu yenye maelezo ya tukio lako. Baadhi ya maelezo yataonyeshwa kwa watumiaji wote, bila kujali kama wanajiandikisha kwa ajili ya tukio (yaani, tarehe ya tukio, saa ya tukio, aina ya tukio na eneo la tukio). Baadhi ya maelezo yataonyeshwa kwa watumiaji wanaojiandikisha kwa ajili ya tukio pekee (yaani, viungo vya kikundi cha video na makundi sogozi, ikiwa vipo).
To enable the "Questions for Participants," the organizer must accept the clickwrap agreement.
Mara baada ya kukamilisha, bofya kitufe “Enable Registration.” 2. Kagua mabadiliko (si lazima): Mara tu unapobofya "Wezesha Usajili," utaona ujumbe wa mafanikio wenye kiungo cha ukurasa wa tukio. Unaweza kubofya kiungo cha ukurasa wa tukio ili kukagua mabadiliko.
Angalia Mchoro 3.1: Taarifa muhimu za kuwezesha usajili wa tukio na Mchoro 3.2: Mfano wa maelezo ya usajili wa tukio kwa uhariri wa mtandaoni
Dhibiti usajili wa tukio
Tazama washiriki wa tukio
Kuna njia mbili unaweza kuona orodha ya washiriki wa tukio:
- Kupitia ukurasa wa tukio: Kwenye ukurasa wa tukio, bofya "Maelezo zaidi".
- Kupitia Maalum:Maelezo ya Tukio: Utaona orodha ya washiriki kwenye ukurasa huu.
Angalia Mchoro 4.0: Njia za kuwatazama washiriki wa tukio lako
View participant data
Participants can optionally answer questions about themselves. Some of the questions are Personally Identifiable Information (PII), which are: gender identity, age range, and profession. Some questions are non-PII, which are: wiki editing skill level, and if the participant is a member of an affiliate (yes/no, with a free text field to name their affiliate). The non-PII responses can be viewed on an individual basis before the event ends. When the event ends, the organizer can see both the PII and noɲ-PII responses displayed in aggregate in the Response Statistics tab.
Ondoa mshiriki wa tukio
- Nenda kwa Maalum: ukurasa wa Maelezo ya Tukio kwa hafla yako.
- Chagua washiriki ambao ungependa kuwaondoa.
- Bonyeza kwenye ikoni ya takataka ("Ondoa"). Washiriki basi wataondolewa kwenye tukio.
Email participants
To email participants as an organizer, you can do the following:
- Go to the Participants tab and select the usernames of the people you want to email
- Select the "Message Participants" button
- You will be redirected to the Message tab
- Add Subject and Message text
- Select the "Send Email" button
Note that the usernames of the participants are not displayed to the organizer through this method. The participants will see the email address of the organizer if they reply to the email message, and the organizer will see the email addresses of the participants only if they receive replies to their emails.
Hariri taarifa za usajili wa tukio
Ikiwa wewe ni mwandaaji wa tukio ambaye umewezesha usajili kwa ukurasa wako wa tukio, unaweza kuhariri maelezo ya usajili kwa njia ifuatayo:
- Maalum:Matukio Yangu: Bofya kwenye nukta tatu, na uchague "Hariri tukio."
- Maalum:Maelezo ya Tukio: Bonyeza kitufe cha "Hariri".
- Nenda moja kwa moja kwa Maalum:Usajili wa Tukio, ikiwa unayo kitambulisho cha tukio.
- Fanya mabadiliko, kisha ubofye "Hariri usajili" ili kuhifadhi mabadiliko yako
Fungua/funga usajili wa tukio
Ikiwa wewe ni mwandaaji wa tukio ambaye umewezesha usajili kwa ukurasa wako wa tukio, usajili wa tukio hufunguliwa kiotomatiki. Hata hivyo, unaweza kufunga usajili wakati wowote. Hii ina maana kwamba hakuna washiriki wapya wanaweza kujiandikisha kwa ajili ya tukio. Ikiwa usajili wa tukio umefungwa, washiriki ambao tayari wamejiandikisha wataendelea kusajiliwa kwa tukio hilo, na bado wataruhusiwa kughairi usajili wao. Mratibu wa tukio anaweza kufungua upya usajili kupitia mchakato sawa wa kufunga usajili.
- Fikia Maalum:Matukio Yangu. Unaweza kufikia ukurasa kupitia Special:EventDetails (bofya “Back”) au moja kwa moja kupitia URL.
- Tambua usajili wa tukio ambalo ungependa kufunga kwenye orodha ya tukio.
- Bofya kwenye nukta tatu.
- Chagua “Close event” au “Open event.”
Funga usajili wa tukio
Ikiwa wewe ni mwandalizi wa tukio ambaye umewezesha usajili kwa ukurasa wako wa tukio, au kama wewe ni msimamizi wa wiki, unaweza kuzima usajili. Hii ina maana kwamba kiolesura cha mtumiaji wa usajili na data ya usajili haitaonyeshwa tena kwenye wiki kwako au washiriki wa tukio.
- Fikia Special:MyEvents. Unaweza kufikia ukurasa kupitia Special:EventDetails (bofya “Back”) au moja kwa moja kupitia URL.
- Tambua usajili wa tukio ambalo ungependa kufuta kwenye orodha ya tukio.
- Bofya kwenye nukta tatu.
- Chagua “Delete event.”
How can an organizer register for their own event?
Organizers of an event can add register for their own event on the Special:RegisterforEvent page. So, for example, if the EventDetails page of the event is https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:EventDetails/143, then an organizer can register on https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:RegisterforEvent/143, as long as registration is open. However, this user flow may be improved in the future (see https://phabricator.wikimedia.org/T321823 for proposed improvements).
Je, mratibu anawezaje kuongeza washiriki kwenye tukio?
Mratibu kwa sasa hawezi kuongeza washiriki kwenye tukio. Ni mshiriki pekee anayeweza kujiongeza.
Je, mratibu anawezaje kuwaondoa washiriki kwenye tukio?
Waandaaji wanaweza kuwaondoa washiriki kwenye tukio kwenye ukurasa wa Maelezo ya Tukio.
Je, nyenzo ya usahili wa tukio inasimamia vipi faragha ya washiriki?
Tumechukua hatua chache ili kuhakikisha faragha ya washiriki, ambayo inajumuisha yafuatayoː
- Washiriki wanajiandikisha chini ya jina lao la mtumiaji. Hatukusanyi majina ya kibinafsi, anwani za barua pepe, au nambari za simu za washiriki.
- Washiriki wana chaguo la kujiandikisha kwa faragha. Hii ina maana kwamba jina lao la mtumiaji katika orodha ya washiriki litaonyeshwa kwa waandaaji wa tukio pekee.
Je, ninawezaje kufunga usajili wa tukio langu?
Mratibu anaweza kufunga usajili wa tukio kupitia SpecialːMyEvents.
How do I add other organizers to my event registration?
As an organizer, you may add other organizers to event registration by specifying their username in the "Organizers" field while enabling or editing your event registration.
If a new organizer is added to an event, they have all basic organizer privileges, including being able to:
- Edit event registration information
- Cancel the registration of a participant
- Open or close event registration
- Delete event registration
- Remove other organizers under certain conditions (see below)
Can I remove myself, as the event creator?
- Every event should have at least one organizer. If there is more than one organizer, you can remove yourself.
If I am not the event creator, can I remove the event creator?
- No. The primary organizer name is not editable by other organizers.
Note that all organizers currently have the same rights, but we will looking into separate organizer roles in the future (T316138).
Zana ya usajili wa tukioː uzoefu wa mshiriki
Kujiandikisha kama mshiriki
- Kwenye ukurasa wa tukio, bofya kitufe cha “Register for event” kilicho juu ya ukurasa.
- Ikiwa hujaingia, utaelekezwa kwenye ukurasa wa kuingia/kujisajili. Mara tu unapoingia au kujisajili kwa akaunti ya Wikimedia, utarejeshwa kwenye ukurasa wa tukio, ambapo unaweza kukamilisha usajili wako.
- Unapojiandikisha, unaweza kuchagua kujiandikisha hadharani au kwa faragha. Ukijisajili hadharani, jina lako la mtumiaji litatazamwa na mtu yeyote anayetembelea ukurasa wa tukio, na michango yako inaweza kuchanganuliwa katika zana kama vile Dashibodi ya Mipango na Matukio wakati wa tukio. Ukijisajili kwa faragha, jina lako la mtumiaji litaonekana tu kwa waandaaji wa tukio katika orodha ya washiriki. Michango yako inaweza isijumuishwe katika zana kama vile Dashibodi ya Mipango na Matukio. Kumbuka kuwa kipengele hiki na ujumuishaji wake na Dashibodi ya Mipango na Matukio inatengenezwa kwa sasa.
- Mara tu mchakato wa usajili utakapokamilika, mshiriki anasajiliwa kwa hafla hiyo.
- Mshiriki atapokea barua pepe ya uthibitisho wa usajili ikiwa ana anwani ya barua pepe inayohusishwa na akaunti zao na ikiwa hawajazima barua pepe inayotumwa kwao kupitia Mapendeleo (kumbuka kuwa kipengele cha barua pepe ya uthibitisho kinatengenezwa na wahandisi).
Jinsi ya kughairi usajili wa washiriki
Kwenye ukurasa wa tukio, bofya kwenye aikoni ya kopo la taka kwenye kichwa cha usajili. Mshiriki ataondolewa kwenye tukio hilo.
Je, ninaweza kujiunga na tukio husika kwa faragha?
Mshiriki anaweza kuchagua kujiunga na tukio kwa faragha wakati wa kujiandikisha.
Je, ninajiunga vipi na tukio?
Mshiriki anaweza kubofya kitufe cha "Jisajili" kwenye ukurasa wa tukio ili kujiunga na tukio.