Wikisource/sw
Jina,Kauli mbiu,Alama
Wikisourceni mrdai wa Shirika la Wikimedia wa kujenga maktaba huru ya maelezo. kimsing mradi huu unaitwa mradi wa sourceberg ambao ulianzishwa mwaka 2003, mradi huu ulianzishwa chini ya idara ndogo ya makabila mbalimbali mnamo mwaka 2005. Kwa sasa mradi huu ni nyumba ya vitabu, Riwaya,insha,nyaraka za hadithi za kale, masahiri, barua, hotuba, na nyaraka zinginezo, ni ndefu kulingana na jinsi ambavyo itaandaliwa chini ya chombo cha cc-by-SA Kibali cha matumizi huria.
- Angalia chati ya multilingual ''wikisource-Maktaba huru'' kwa jina la mradi na alama yake yenye makabila mengi sana.
- Alama ya wikisource hubadilika kulingana na historia ya mradi. Ilikuwa na uhalisia wa picha za jpg (kama inavyoonekana kulia) lakini kwa sasa inaonekana katika mwonekano wa picha wa .svg ambao upo kwenye iceberg (kama unavyoonekana hapo juu).
Olodha ya wikisources
Hii ni alama ya lugha ndogondogo za wikisource.Tazama Wikisource:Lugha kwa olodha ya lugha bila ya kuwa na alama ndogondogo; hizi zote zimehifadhiwa katika Multilingual Wikisource.
- These statistics are updated four times a day. See commons:Data:Wikipedia statistics/data.tab for the date/time of last update. This page may need to be purged to see the latest numbers.
Totals | Text units | All pages | Edits | Admins | Users | Active users | Files |
---|---|---|---|---|---|---|---|
All active Wikisources | 6,284,319 | 20,804,156 | 68,948,772 | 316 | 4,987,175 | 2,740 | 79,671 |
Wikisources in Wikipedia
An Alemannic Wikisource has been created as separate namespace within Alemannic Wikipedia: Alemannischi Textsammlig (Wikisource) and similarly, the North Frisian Wikipedia, the Bavarian Wikipedia, the Rhine Franconian Wikipedia, and the Pennsylvania Dutch Wikipedia have also adopted Wikisource projects in the Text
namespace: Nordfriisk Bibleteek, Boarische Text, Rheifränggische Tegschdsommlung, Pennsylvanische Wikisource.
The Swahili Wikipedia has adopted a Wikichanzo namespace for its Wikisource: Swahili Wikisource.
Historical discussion
Please see the talk page.
See also
- List of Wikisources at WikiStats, an alternative version of the table above
- Another version of the table at WikiStats, presented as raw wiki markup
- Wikisource Community User Group
- Role of Wikisource
- List of language editions
- Wikisource Tenth Birthday