Kituo cha Tukio/Usajili
Home | How to Use | FAQ |
Usajili wa Tukio ndiyo zana ya kwanza ya Kituo cha Tukio. Kituo cha Tukio kitakuwa jukwaa la kuandaa na kudhibiti [matukio ya kampeni $3], pamoja na aina nyingine za matukio, kwenye wiki. Kwenye jukwaa hili, waandaaji wanaweza kufikia zana za kuunda kampeni za maudhui, na washiriki wanaweza kupata usaidizi wanaohitaji ili kujihusisha na matukio katika harakati za Wikimedia. Kituo cha Tukio kitarahisisha mtiririko wa kazi na kuhimiza shughuli zaidi za upangaji kampeni kufanyikia kwenye tovuti ya wiki.
Usajili wa Tukio unapatikana kwa wiki ambazo zimesakinisha Kiendelezi cha CampaignEvents. Kwa kipengele hiki, waandaaji wa hafla wanaweza kuwezesha usajili kwenye kurasa zao za hafla. Mara baada ya usajili kuwezeshwa, washiriki wanaweza kujiandikisha kwa tukio kwa kubofya kitufe cha "Jisajili". Kisha, waandaaji wataweza kukusanya orodha ya washiriki wa tukio waliosajiliwa, pamoja na data ya hiari juu ya demografia ya washiriki.
Why use the Event Registration Tool?
The event registration tool is the first on-wiki solution for event registration. With this tool, event participants can click on a "Register" button to sign up for events, rather than needing to add their signature to an event page (which is confusing to newcomers) or using third-party registration solutions that are off the wikis. Meanwhile, event organizers can bring more of their organizing activity on the wikis, and they can benefit from a growing list of features that support event organizers over time.
The key benefits of the tool include:
- Easier to use for organizers: Organizers can easily enable registration on their event pages, and they can easily manage a participant list.
- Easier to use for participants: Participants can easily register for events on-wiki, with no understanding of editing or signatures required.
- Greater data privacy for participants: Participants will not need to worry about how their data is managed, tracked, or stored by third-party registration solutions, since the event registration tool will be a part of the Wikimedia ecosystem and its privacy standards. Furthermore, there is an optional private registration feature, so that participants can only show their usernames to organizers, if they wish. It is also optional for participants to answer demographics questions about themselves.
- Improved communication support: Organizers can easily send emails to registered participants, and a confirmation email is sent to participants after registering for the event.
- Integration with wiki workflows and practices: Event pages and event registration can be integrated into wiki workflows, so users can watch and manage event pages.
- Integration with the Programs & Events Dashboard: The event registration tool has integration with the Programs & Events Dashboard, so that all public registrants can have their usernames automatically pushed to the relevant event on the Programs & Events Dashboard. This can save time for event organizers and participants, since they will not need to manually add usernames to the Dashboard.
- More data on campaign and event activity as a movement: Right now, many event organizers turn to third-party solutions to do things like create event pages, register participants, and other tasks. This means that we miss out on a lot of crucial data, analysis, and understanding related to movement events, in particular as related to their impact and outcomes. If we make it easier for organizers to create and manage events on the wikis, we can expect to see more transparency and cohesion around event activity on the wikis.
Nani anastahili kutumia zana hii
Kwa waandaaji wa matukio
Those who have the Event Organizer Right can access the organizer side of the tool which allows you to:
- Unda ukurasa wa tukio katika nafasi ya jina la tukio
- Ongeza watumiaji (walio na haki za kuandaa tukio) kama waandaaji wenza
- Wezesha usajili kwenye kurasa za matukio ambazo wameunda
- Mratibu wa tukio anaweza kutuma barua pepe kwa washiriki
- Kuunganishwa na Dashibodi ya Mipango na Matukio
- Hariri maelezo ya usajili wa tukio
- Zima usajili wa tukio kwenye ukurasa wa tukio
- Tazama ni nani aliyejiandikisha kwaajili ya tukio hilo na lini walijiandikisha
- Ondoa washiriki kutoka kwenye orodha ya washiriki
- Mwandaaji wa tukio anaweza kubainisha kitambulisho chake cha Ruzuku (ikiwa kipo)
- Barua pepe ya uthibitishaji Kiotomatiki iliyotumwa kwa washiriki (ikiwa anwani ya barua pepe inahusishwa na akaunti)
- Kusanya maelezo ya hiari kuhusu demografia ya washiriki, ikiwa wanakubali makubaliano ya kubofya ili kushughulikia data ya mshiriki kwa uangalifu.
- Gender, age, profession, comfort level in contributing to Wikimedia projects, and if they are a part of any Wikimedia affiliates.
Zana ya usajili wa tukio imetolewa kwenye Meta-Wiki. Ili kuufikia upande wa mratibu wa zana kwenye Meta-Wiki, utahitaji kuwa na kiratibu haki. Ili kuomba haki ya mratibu, tembelea Ukurasa wa Waandaaji wa Tukio.
Kwa washiriki
Anybody with a Wikimedia account can register for an event once the registration is enabled on that event page by an organizer giving you access to the participant side of the tool which allows you to:
- Jisajili kwa matukio kwa kubofya kitufe cha "Jisajili".
- Chagua kujiandikisha hadharani au kwa faragha
- Badilisha hali yao ya usajili (ya umma au ya faragha) wakati wowote
- Batilisha usajili wa matukio
- Tazama viungo vya vikundi vya gumzo au simu za video
- Tazama orodha ya umma ya washiriki waliosajiliwa
- Washiriki wanaweza kujibu maswali ya hiari wakati wa kujiandikisha kuhusiana na:
- Jinsia, umri, taaluma, kiwango cha faraja katika kuchangia miradi ya Wikimedia, na ikiwa ni sehemu ya washirika wowote wa Wikimedia.
Kwa watazamaji
Unaweza kuunda matukio ya majaribio ili kujaribu zana kwenye nguzo ya beta, testwiki na test2wiki. Zaidi ya hayo, unaweza kuhudhuria saa zetu za ofisi ili kujifunza zaidi kuhusu zana na kuona onesho la moja kwa moja.
Mwongozo
Maana za Misamiati
- Zana ya Usajili wa Tukio ni jina la kipengele cha usajili cha Kituo cha Tukio.
- Tukio ni shughuli zozote zinazohusiana na tukio, kama vile kampeni za maudhui (k.m., edit-a-thons, mashindano ya kuandika, n.k), mikutano, saa za kijamii, saa za kazi na zaidi.
- Event namespace is a namespace specifically for event pages, which is available for any wikis that have the CampaignEvents extension enabled.
- Ukurasa wa tukio ni ukurasa wa wiki wa tukio lolote, ambalo linaweza kujumuisha usajili wa tukio. Ukurasa wa tukio unaweza kutoa maelezo kuhusu tukio, kama vile sisi malengo ya tukio, malengo, tarehe, na eneo la mikusanyiko.
- Mwandaaji wa tukio ni mtu yeyote ambaye anaandaa tukio na kutumia uratibu wa kazi (kama vile kuunda ukurasa wa tukio na kuwezesha usajili wa tukio). Pia ni watumiaji wanaounda kurasa za matukio.
- mshiriki ni mtu yeyote anayejiandikisha kwaajili ya tukio.
Maelekezo hatua kwa hatua
Tembelea hati ya mwongozo kwa maelekezo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kutumia zana ya usajili wa tukio.
Maswali yaulizwayo mara kwa mara
Tafadhali angalia/tembelea sehemu ya Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara.
Saa za Ofisi
Office Hour 5: Demoing new features
In this office hour, we demoed new features, including: integration with the Program & Events Dashboard, the ability for organizers to email participants, and the ability for organizers to collect optional demographic questions on participants,
- Session 1: October 7, 2023
- Session 2: October 10, 2023
- Watch recording on Youtube
- Watch recording on Wikimedia Commons
Katika saa hii ya ofisi, tutakuwa tukishusha toleo la kwanza la zana ya usajili wa tukio ambalo linapatikana kwa matumizi kwenye wiki ya moja kwa moja (Meta-wiki). Tutakufundisha jinsi unavyoweza kutumia zana mwenyewe kwa matukio halisi ya Wikimedia kwenye Meta-wiki, au jinsi unavyoweza kuifanyia majaribio katika mazingira ya majaribio ambayo yanajumuisha testwiki, test2wiki, au nguzo ya beta. Washiriki watajifunza jinsi ya kuunda ukurasa wa tukio katika nafasi mpya ya jina la tukio, kuwasha usajili na kukusanya data kuhusu aliyejisajili (kama mwandalizi wa tukio). Pia tutawashirikisha jinsi timu yetu (timu ya Kampeni) inavyoweza kutoa usaidizi kwa waandaaji wanaotaka kuunda matukio kwa kutumia zana zetu.
- Kipindi cha 1: Desemba 5, 2022, 18:00 UTC
- Kipindi cha 2: Desemba 10, 2022, 12:00 UTC
- Tazama rekodi kwenye Youtube
- Tazama rekodi kwenye Wikimedia Commons
Katika saa hii ya ofisi, tutakuwa tukionesha namna ya kutumia zana mpya ya usajili wa tukio, na tutakufundisha jinsi unavyoweza kuitumia wewe mwenyewe. Washiriki watajifunza jinsi ya kuunda ukurasa wa tukio katika nafasi mpya ya jina la tukio, kuwezesha usajili na kukusanya data kuhusu aliyejisajili (kama mwandalizi wa tukio). Pia wataweza kujiandikisha kwa tukio kwenye ukurasa wa tukio (kama mshiriki wa tukio).
- Kipindi cha 1: Julai 21, 2022, 17:00 UTC
- Kipindi cha 2: Julai 23, 2022, 12:00 UTC
- Kiungo cha YouTube: https://www.youtube.com/watch?v=_xb6-ZElpN4
Saa ya 2 ya Ofisi: Zana ya Usajili wa Tukio: Eneo la wiki, Mwonekano wa awali na Masasisho mengine
Katika mkutano huu, tutatambulisha toleo jipya la mwonekano katika Kompyuta ya mezani, toleo la kwanza la mwonekano kwenye simu na uwezekano wa kuunda eneo jipya la wiki kwa kipengele cha kwanza cha Kituo cha Tukio, ambayo ni Zana ya Usajili wa Tukio. Timu ya Bidhaa ya Kampeni pia itatoa masasisho kwa jumuiya kuhusu matokeo ya majaribio ya utumiaji, ratiba ya sasa ya mradi na kujibu maswali yoyote ambayo unaweza kuwa nayo. Jiunge nasi na utushirikishe mawazo yako kuhusu maendeleo haya!
- Tarehe: Machi 31, 2022, 15:00 UTC
- Kiungo cha YouTube: https://www.youtube.com/watch?v=lYXEduCaKtE
Saa ya 1 ya Ofisi: Kutambulisha Timu ya Bidhaa ya Kampeni
Shirika la Wikimedia Foundation sasa lina timu ya Bidhaa inayozingatia mahitaji ya waandaaji wa kampeni na tukio katika Harakati za Wikimedia. Katika mkutano huu, tutatambulisha timu ya bidhaa, na jinsi tutakavyokuwa tukishughulikia kipengele cha kwanza, Usajili wa Mshiriki. Jiunge nasi na utoe maoni juu ya mawazo yetu ya kwanza!
- Tarehe: Septemba 9, 2021, 15:00 UTC
- Kiungo cha YouTube: https://www.youtube.com/watch?v=7jT8fRUWjfI
Maendeleo ya Kiufundi
Kwa uchanganuzi wa kina wa kazi ya kiufundi na usanifu, tufuate kwenye Phabricator.