Bodi ya Wadhamini ya Mradi wa Wikimedia

This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation Board of Trustees and the translation is 83% complete.

Bodi ya wadhamini ya Mradi wa Wikimedia yaa (BoT) inajukumu la kuangalia mradi wa Wikimedia na kazi zake, na sheria zake ndogondogo.

The Wikimedia Foundation trustees speak about their work

Muundo

Bodi iliundwa mnamo mwaka 2003 ikiwa na wadhamini watatu, na tangu mwaka 2020 bodi inajumuisha wadhamini 16 kumi na sita. inachangua maofisa kutoka kwa wadhamini: Mwenyekiti, nafasi mbili ya makamu wenye viti, na wenyekiti wa kamati. Bodi pia ina teua maofisa nje na wadhamini: Mkurugenzi mkuu, Mhadhini mkuu, na Katibu. Baadhi ya shughuri za bodi ni pamoja na Maazimio na uchaguzi. Kazi nyingine hukabidhiwa kwenye kamati mbalimbali kama vile Utawala, ukaguzi, vipaji na utamaduni, Kamati ya bidhaa na tekinolojia na kamati ya maadili ya jamii.

Kwasasa uanachama wa Bodi unajumuisha:

Kamati

Kuwasiliana na Bodi

Kuna Ubao wa matangazo ya kushiriki maombi na mapendekezo. Unaweza kuwasiliana moja kwa moja na Bodi kupitia ubao wa matangazo. Unaweza kuwasiliana na Mradi wa Wikimedia wenyewe kwanjia kadhaa kama ilivyoainishwa kwenye contact|page.

Wanachama kwa sasa

Picha Jina Kiti Jukumu/nafasi Ukomo wa mhura Maelezo wiki Nyumbani
  Nataliia Tymkiv (User:NTymkiv (WMF)) Kuwekwa rasmi Mwenyekiti 1 Novemba 2025 Appointed on 23 March 2022 Ukrainian Wikipedia
  Mike Peel (User:Mike Peel) Jumuiya/Ushiriki 31 Desemba 2025 Aliteuliwa rasmi Desemba 2022 Wikipedia ya Kiingereza
  Shani Evenstein Sigalov (User:Shani (WMF)) Jumuiya/Ushiriki Kamati ya Utawala mwenyekiti Reappointed in December 2022 Hebrew Wikipedia
  Esra'a Al Shafei Kuwekwa rasmi Kamati ya Bidhaa na Teknolojia mwenyekiti 1 Oktoba 2026 Aliteuliwa tena tarehe 15 Agosti 2023
  Raju Narisetti Kuwekwa rasmi Kamati ya Utawala mwenyekiti Aliteuliwa tena tarehe 15 Agosti 2023
  Kathy Collins Kuwekwa rasmi makamu mwenyekiti;
Kamati ya Utawala mwenyekiti
1 Novemba 2026 Aliteuliwa rasmi Desemba 2022
  Victoria Doronina (User:Victoria) Jumuiya/Ushiriki 31 Desemba 2027 Aliteuliwa Oktoba 2021 Russian Wikipedia
  Lorenzo Losa (User:Laurentius) Jumuiya/Ushiriki makamu mwenyekiti
Aliteuliwa Oktoba 2021 Italian Wikipedia
  Christel Steigenberger (User:Kritzolina) Jumuiya/Ushiriki Aliteuliwa Oktoba 2021 Wikipedia ya Kijerumani
  Maciej Nadzikiewicz (User:Nadzik) Jumuiya/Ushiriki Aliteuliwa Oktoba 2021 Polish Wikipedia
  Jimmy Wales (User:Jimbo Wales) Mwanzilishi Mwenyekiti Mstaafu[Notes 1] 31 Desemba 2027[1] Aliteuliwa tena tarehe 8 Desemba 2021 Wikipedia ya Kiingereza
  Luis Bitencourt-Emilio Kuwekwa rasmi 1 Januari 2028[2] Aliteuliwa rasmi Desemba 2022
Notes:

Wanachama wazamani

User:Doc JamesUser:DennyUser:PunditUser:Guy KawasakiUser:FriedaUser:LyzzyUser:RaystormUser:PhoebeUser:LyzzyUser:Patricio.lorenteuser:BishdattaUser:PhoebeUser:SjUser:AklUser:MhalprinUser:SjUser:MidomUser:WingUser:Michael SnowUser:MidomUser:FriedaUser:Stuuser:anthereUser:MindspillageUser:OscarUser:MindspillageUser:EloquenceUser:Jan-BartUser:AngelaUser:AnthereUser:MdavisUser:TimShellUser:Jimbo WalesSpecial:MyLanguage/Wikimedia Foundation Board of Trustees
User:KritzolinaUser:NadzikUser:NTymkiv (WMF)User:Esh77User:Mike PeelUser:LaurentiusUser:VictoriaUser:RosiestepUser:PunditUser:RaystormUser:Doc JamesUser:PunditUser:Esh77w:en:Esra'a Al Shafeiw:en:Raju NarisettiUser:NTymkiv (WMF)User:SchisteUser:Doc JamesArnnon GeshuriKelly BattlesUser:Guy KawasakiUser:FriedaUser:Patricio.lorenteUser:LyzzyUser:RaystormUser:DennyUser:PunditArnnon GeshuriKelly BattlesUser:Jimbo WalesSpecial:MyLanguage/Wikimedia Foundation Board of Trustees

Maelezo zaidi

References