Termbase/sw
Outdated translations are marked like this.
A
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
abuse filter | kichujio cha matumizi mabaya |
accountability | Uwajibikaji |
admin | mkabidhi |
administrator | msimamizi |
administrators | Wasimamizi |
administrators on meta | Wasimamizi kwenye meta |
adminship | utawala |
advanced rights | haki za hali ya juu |
advisor | mshauri |
Advisory Board | Bodi ya Ushauri |
AffCom | Affcom |
affiliate | mshirika |
affiliates | washirika |
Affiliations Committee | Kamati ya Ushirikiano |
Africa | Afrika |
arbitration committee | kamati ya usuluhishi |
appeal | rufaa/ kata rufaa |
Assistant election official | Msaidizi Afisa Uchaguzi |
autoconfirmed users | watumiaji waliothibitishwa automatiki |
autopatrolled users | watumiaji wanaofanya doria automatiki |
B
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
backlog | mlundikano |
best practices | mazoea bora |
board | bodi |
board election | uchaguzi wa bodi |
board elections | chaguzi za bodi |
Board Governance Committee | Kamati ya Utawala ya Bodi |
board handbook | kitabu / kijatabu cha bodi |
Board of Trustees | Bodi ya Wadhamini |
BoT | BoT |
bot | bot |
bylaws | sheria ndogo |
C
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
Call for feedback | ombi la maoni |
candidate | mgombea |
candidates | wagombea |
category | jamii |
CEE | CEE |
Central and Eastern Europe | Ulaya ya Kati na Mashariki |
Central and Eastern Europe (CEE) and Central Asia | Ulaya ya Kati na Mashariki (CEE) na Asia ya Kati |
CentralNotice | CentralNotice / TaarifaKuu / NotisiKuu |
chair | kiti |
Chairman Emeritus | Mwenyekiti Mstaafu |
challenge | changamoto |
change | badili / badiliko |
changes | mabadiliko |
chapter | tawi / sura |
chapters | matawi |
chapters agreement | makubaliano ya matawi |
Chapters committee | kamati ya matawi |
chapters handbook | kitabu / kijitabu cha matawi |
Chapters meeting | mkutano wa matawi |
Charter | Hati / Mkataba |
Charter content | maudhui ya hati / maudhui ya mkataba |
Charter drafting | uandishi wa Hati |
CheckUser | CheckUser / AngaliaMtumiaji |
CheckUser policy | sera ya CheckUser / sera ya AngaliaMtumiaji |
Chief Operational officer | Afisa Mkuu wa Operesheni |
Chief Technical Officer | Afisa Mkuu wa Ufundi |
ComCom | ComCom |
commission | tume |
committee | kamati |
Commons | Commons |
Communications committee | Kamati ya mawasiliano |
communities | jumuiya / jamii |
communities and organizations | jamii na mashirika |
community | jumuiya / jamii |
Community Affairs Committee | Kamati ya Masuala ya Jamii |
Community Development | Maendeleo ya jamii |
Community Development team | timu ya Maendeleo ya jamii |
community meeting | mkutano wa jumuiya / mkutano wa jamii |
Community Resilience and Sustainability (CR&S) | Ustahimilivu na Uendelevu wa Jamii (CR&S) |
conflict of interest | mgongano wa maslahi |
consensus | makubaliano |
consultation | mashauriano |
consultation with | mashauriano na |
consultation with communities | mashauriano na jumuiya |
consultations | mashauriano |
content | maudhui |
contractor | mkandarasi |
contributor(s) | mchangiaji/ wachangiaji |
conversation | mazungumzo |
conversations | mazungumzo |
coordinating | kuratibu |
coordination | uratibu |
Council | Baraza |
D
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
desktop | kompyuta dawati |
development | maendeleo |
development of | maendeleo ya |
Diff blog | blogu ya Diff |
Direction | mwelekeo |
disambiguation | kutokuwa na maana |
discussion | majadiliano |
discussion page | ukurasa wa majadiliano |
Discussion Tools | Zana za majadiliano |
discussions | majadiliano |
diverse | anuwai |
diversity | tofauti, anuwai |
draft | rasimu |
drafting | kuandaa rasimu |
Drafting committee | Kamati ya kuandaa rasimu |
drafts | rasimu |
E
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
East, Southeast Asia, and Pacific | Mashariki, Asia ya Kusini-mashariki, na Pasifiki |
edit conflict | hariri migogoro |
edit summary | hariri muhtasari |
edit war | hariri vita |
Edit-a-thon | Edit-a-thon |
Editathon | Editathon |
editing | kuhariri |
editor | mhariri |
editors | wahariri |
election | uchaguzi |
Election compass | dira ya uchaguzi |
Election officers | Maafisa Uchaguzi |
election volunteer | Wafanyakazi wa kujitolea wa uchaguzi |
elections | chaguzi |
Elections Committee | Kamati ya Chaguzi |
Embassies | balozi |
Embassy | balozi |
emerging communities | jamii zinazoibuka |
emerging community | jamii inayoibuka |
employee | mfanyakazi |
employees | wafanyakazi |
enforcement | utekelezaji |
Enforcement Guideline | Mwongozo wa Utekelezaji |
Enforcement Guidelines | Miongozo ya Utekelezaji |
ESEAP | ESEAP |
Europe | Ulaya |
evaluation | Tathmini |
event | Tukio |
events | Matukio |
Events committee | Kamati ya matukio |
Executive Director | Mkurugenzi Mtendaji |
extension | upanuzi / uenezi |
external links | viungo vya nje |
F, G
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
FDC | FDC |
feature | sifa (computer context) |
financial committee | kamati ya fedha |
financial reports | ripoti ya fedha |
Foundation | Shirika |
Foundation-l | Shirika-l |
free knowledge | maarifa ya bure |
fund | mfuko |
Fundraising committee | kamati ya harambee |
funds | fedha |
Funds Dissemination Committee | Kamati ya Usambazaji wa Fedha |
General Counsel | Mshauri mkuu |
Gerrit | Gerrit |
GFDL | GFDL |
GLAM | GLAM |
GLAMs | GLAMs |
GLAMwiki conferences | mikutano ya GLAMwiki |
global conversation | mazungumzo ya kimataifa |
global conversations | mazungumzo ya kimataifa |
Global council | Baraza la kimataifa |
global permissions | ruhusa/ hati za kimataifa |
global policies | sera za kimataifa |
global policy | sera ya kimataifa |
Global Sysop | msimamizi wa kimataifa / msimamizi wa ulimwengu |
Global Sysops | wasimamizi wa kimataifa / msimamizi wa ulimwengu |
governance | utawala |
Governance review | Tathmini ya utawala |
grant | ruzuku |
Grant Advisory Committee (GAC) | Kamati ya Ushauri ya Ruzuku (GAC) |
grantee | mfadhiliwa |
grants | ruzuku |
guideline | mwongozo |
H, I , K
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
hackathon | hackaton |
healthy community | jamii yenye afya |
helpdesk | dawati la msaada |
home wiki | wiki ya nyumbani |
hub | hebu / kitovu / kituo |
hubs | hebu |
implement | kutekeleza / tekeleza |
implementation | utekelezaji |
inclusive | Pamoja na |
initiative (Movement Strategy Initiative) | initiative |
insurance committee | kamati ya bima |
interface | Kikusa |
interface administrator | msimamizi wa kikusa |
interfaces | Vikusa |
Interim Global Council | Baraza la Kimataifa la Mpito |
interwiki | interwiki |
IRC | IRC |
knowledge | maarifa |
L
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
LangCom | LangCom |
Language Committee | Kamati ya Lugha |
LATAM | LATAM |
Latin America | Amerika ya Kilatini |
Latin America (LATAM) and The Caribbean | Amerika ya Kilatini (LATAM) na Visiwa vya Karibi |
leader | kiongozi |
leadership | uongozi |
Leadership development | maendeleo ya uongozi |
Leadership development working group | Kikundi kazi cha maendeleo ya uongozi |
legal | kisheria |
legal officer | afisa wa sheria |
libraries | maktaba |
library | maktaba |
list of chapters | orodha ya matawi |
list of projects | orodha ya miradi |
lists of projects | orodha za miradi |
logo | nembo |
logos | nembo |
M, N
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
mailing list | orodha ya barua |
mailing lists | orodha ya barua |
main page | ukurasa mkuu |
mainspace | nafasikuu |
maintaining | kudumisha |
matching fund | mfuko unaolinga |
MediaWiki | MediaWiki |
MENA | MENA |
Meta policies | sera za Meta |
Middle East and Africa | Mashariki ya Kati na Afrika |
mission statement | maelezo ya dhamira |
movement | harakati |
Movement Charter | Hati ya Harakati |
Movement Strategy | Mkakati wa Harakati |
movement-wide | harakati kwa upana |
multilingual project | mradi wa lugha nyingi |
multilingual projects | miradi ya lugha nyingi |
namespace | nafasi ya jina |
namespaces | nafasi ya majina |
need for leadership | haja ya uongozi |
needs | mahitaji |
Neutral point of view (NPOV) | Mtazamo wa kutoegemea upande wowote (NPOV) |
newcomer | mgeni |
newcomers | wageni |
O, P
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
office action | hatua ya ofisi / hatua ya kiofisi |
office actions | hatua za ofisi / hatua za kiofisi |
officers | maafisa |
office hour(s) | officers hour(s) |
online platform | jukwaa la mtandaoni |
online tool | zana ya mtandaoni |
organization | shirika |
organizations | mashitika |
outreach | kuwafikia / ufikiaji |
oversight | oversight |
page | page |
paid editing | uhariri wa kulipwa |
participant | mshiriki |
participants | washiriki |
permissions | vibali |
platform | jukwaa |
platforms | majukwaa |
point of view (pov) | mtazamo (pov) |
policies | sera |
policy | sera |
presentation | wasilisho |
presentations | mawasilisho |
priorities | vipaumbele |
prioritized | iliyopewa kipaumbele |
priority | kipaumbele |
priority initiative | mpango wa kipaumbele |
priority initiatives | mipango ya kipaumbele |
privilege | privilege |
process | mchakato |
processes | michakato |
project | mradi |
projects | miradi |
proposal | pendekezo |
proposals | mapendekezo |
R
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
random page | ukurasa wa nasibu |
ratification | uthibitisho |
ratification process | mchakato wa uthibitisho |
recent changes | wajibu |
recommendation | rudi nyuma |
recommendations | mapato |
red link | mapato |
redirect | meza pande zote |
Regional hub | SAARC |
Regional hubs | sandbox / sanduku la mchanga |
rename | wigo |
request | uteuzi, uchaguzi |
request for permissions | mtumiaji mmoja kuingia |
requests | maombi |
requests for permissions | requests for permissions |
requests for username changes | requests for username changes |
research | utafiti |
research phase | awamu ya uchaguzi |
research report | ripoti ya utafiti |
research result | matokeo ya utafiti |
resource | rasilimali |
resources | rasilimali |
responsibilities | majukumu |
responsibility | wajibu |
retreat | retreat |
revenue | revenue |
revenues | revenues |
right | right |
Roundtable | Roundtable |
S
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
SAARC | SAARC |
sandbox | sandbox |
scope | scope |
section | section |
selection | selection |
single user login | single user login |
sister projects | miradi dada |
skills development | maendeleo ya ujuzi |
Small Wiki Monitoring Team | Timu Ndogo ya Ufuatiaji ya Wiki |
South Asian Association for Regional Cooperation | Jumuiya ya Ushirikiano wa Kikanda ya Asia ya Kusini |
spam | barua taka |
spam block list | orodha nyeusi ya barua taka |
special page | ukurasa maalum |
special pages | kurasa maalumu |
speedy deletion | ufutaji wa haraka |
speedy deletions | ufutaji wa haraka |
staff | staff |
stakeholder | mdau |
stakeholders | wadau |
steward | wakili / msimamizi |
steward elections | chaguzi za mawakili / chaguzi za wasimamizi |
steward requests | maombi ya mawakili / maombi ya wasimamizi |
stewards | mawakili / wasimamizi |
strategy | mkakati |
strategy recommendation | mapendekezo ya mkakati |
strategy recommendations | mapendekezo ya mkakati |
SUL | SUL |
summaries | muhtasari / ufupisho |
summary | muhtasari / ufupisho |
support | msaada/ tegemeza |
suppression | suppression |
sustainability | endelevu |
sysop | msimamizi |
sysops | wasimamizi |
T
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
talk page | ukurasa wa majadiliano |
talk pages | kurasa za majadiliano |
task force | kikosi kazi |
Telegram Group | Kikundi cha Telegram |
Telegram Groups | Vikundi vya Telegram |
template | Kiolezo |
templates | Violezo |
test wiki | jaribu wiki |
test wikis | jaribu wikis |
thematic hub | kitovu cha mada |
thematic hubs | vitovu vya mada |
thematic organization | kitovu cha shirika |
thematic organizations | vitovu vya mashirika |
trademarks committee | kamati ya alama za biashara |
transclusion | uhamishaji |
translation of the week | Tafsiri ya wiki |
translation request | ombi la tafsiri |
translation requests | maombi ya tafsiri |
treasurer | mweka hazina |
Trust & Safety | Uaminifu & Usalama |
trustee | mdhamini |
trustees | wadhamini |
U, V
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
UCoC Enforcement guidelines | Mwongozo wa utekelezaji wa UCoC |
United States and Canada | Marekani na Kanada |
Universal Code of Conduct | Kanuni ya Maadili ya Ulimwengu / Kanuni za Maadili kwa Wote |
update | Sasisha |
user | mtumiaji |
user group | kikundi cha watumiaji |
user groups | vikundi vya watumiaji |
user page | ukurasa wa mtumiaji |
vandal | mharibifu |
vandalism | uaribifu |
vandals | waharibifu |
verifiability | verifiability |
vice-chair | makamu mwenyekiti |
village pump | pampu ya kijiji |
VisualEditor | VisualEditor |
Volunteer Response Team | Timu ya Majibu ya Wakujitolea |
W
Kiingereza | Utafsiri |
---|---|
Wikibooks | Wikibooks |
Wikicouncil | Wikicouncil |
Wikimania | Wikimania |
Wikimedia | Wikimedia |
Wikimedian | Mwanawikimedia |
Wikimedia Cloud Services (WMCS) | Huduma ya Cloud ya Wikimedia (WMCS) |
Wikimedia Commons | Wikimedia Commons |
Wikimedia community | jumuiya ya Wikimedia |
Wikimedia Foundation | Shirika la Wikimedia |
Wikimedia Foundation official policies | sera rasmi ya Shirika la Wikimedia |
Wikimedia Foundation official policy | sera rasmi ya Shirika la Wikimedia |
Wikimedia project | mradi wa Wikimedia |
Wikimedia projects | miradi ya Wikimedia |
Wikimedia Summit | Mkutano wa Wikimedia |
Wikinews | Wikinews |
Wikipedia | Wikipedia |
Wikiquote | Wikiquote |
Wikisource | Wikisource |
Wikispecies | Wikispecies |
wikitext | wikitext |
wikitext editor | wikitext editor / mhariri wa wikitext |
Wikiversity | Wikiversity |
Wikivoyage | Wikivoyage |
Wiktionary | Wiktionary |
working group | kikundi kazi |